ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 4, 2010

Askofu Anglikana awekwa njiapanda

MGOGORO uliochochewa na tuhuma za ufisadi ndani ya Kanisa la Anglikana nchini (ACT), dhidi ya Askofu wa Dayosisi ya Tanga, Dk. Philip Baji, umeingia katika hatua nyingine baada ya kikao cha Baraza la Maaskofu wa kanisa hilo, kumuandikia barua rasmi kikimtaka ajiuzulu.kwa habri zaidi
                 BOFYA HAPA

No comments: