ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 6, 2010

Cheryl Cole mvaa ‘pamba’ bora zaidi duniani



Cole akiwa katika vazi lililobuniwa na Stéphane Rolland
Cheryl Cole ambaye ni mwanamitindo, muimbaji, mtunzi na muigizaji kutoka nchini Uingereza ametangazwa kuwa nyota anayevaa vizuri zaidi kwa mwaka wa pili mfululizo wakati aliyeshika nafasi ya kwanza kwa waliovaa vibaya ni Katie Price. Orodha ya waliovaa vizuri 20 ni kama ifuatavyo:
1. Cheryl Cole
2. Rihanna
3. Blake Lively
4. Leighton Meester
5. Alexa Chung
6. Dannii Minogue
7. Kate Moss
8. Victoria Beckham
9. Beyonce
10. Emma Watson
11. Katy Perry
12. Fearne Cotton
13. Jennifer Aniston
14. Diane Kruger
15. Sienna Miller
16. Megan Fox
17. Lauren Conrad
18. Chloe Sevigny
19. Taylor Momsen
20. Kristen Stewart
Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Rihanna akiwa ametia ‘pamba’ yake katika mtanange huo.
Mshika nafasi ya 10 waliovaa vizuri: Emma Watson
Katie Price: Aliongoza 10 waliovaa vibaya zaidi

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Kaka. Hivi Rihanna ni mMarekani?
Nadhani asili yake ni Barbados.
Ni hayo tu