
Cole akiwa katika vazi lililobuniwa na Stéphane Rolland
Cheryl Cole ambaye ni mwanamitindo, muimbaji, mtunzi na muigizaji kutoka nchini Uingereza ametangazwa kuwa nyota anayevaa vizuri zaidi kwa mwaka wa pili mfululizo wakati aliyeshika nafasi ya kwanza kwa waliovaa vibaya ni Katie Price. Orodha ya waliovaa vizuri 20 ni kama ifuatavyo:1. Cheryl Cole
2. Rihanna
3. Blake Lively
4. Leighton Meester
5. Alexa Chung
6. Dannii Minogue
7. Kate Moss
8. Victoria Beckham
9. Beyonce
10. Emma Watson
11. Katy Perry
12. Fearne Cotton
13. Jennifer Aniston
14. Diane Kruger
15. Sienna Miller
16. Megan Fox
17. Lauren Conrad
18. Chloe Sevigny
19. Taylor Momsen
20. Kristen Stewart

Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Rihanna akiwa ametia ‘pamba’ yake katika mtanange huo.

Mshika nafasi ya 10 waliovaa vizuri: Emma Watson

Katie Price: Aliongoza 10 waliovaa vibaya zaidi
1 comment:
Kaka. Hivi Rihanna ni mMarekani?
Nadhani asili yake ni Barbados.
Ni hayo tu
Post a Comment