Kamati ya Bunge mambo ya nje ulinzi na usalama(NUU) ikiwasili ubalozini,Dc
Mkuu wa msafalaMh.Wilson Masilingi akisalimiana na mwenyeji wake afisa balozi mh.Suleiman Saleh
kutoka kushoto ni Mh.Juma Hassani Kilimbah,Mh.Wilson Masilingi,Theonest Ruhilabake,Khalifa Suleiman Khalifa na Suleiman Saleh
kamati ya Bunge mambo ya Nje kwenye picha ya pamoja na afisa balozi Suleiman Saleh(shoto) wengine kutoka kulia ni Khalifa Suleiman Khalifa mbunge kiti(CUF),mkurugenzi msaidizi ambaye ni katibu wa kamati,ndugu Theonest Ruhilabake,Mh.Juma Hassan Kilimbah mbunge kiti(CCM) na mkuu wa msafala Mh.Wilson Masilingi
Mh.Wilson Masilingi akitia saini kitabu cha wageni ubalozini,Dc
Mkuu wa msafala akiwa na balozi Ombeni Sefue(kulia)
Mh.Wilson Masilingi(shoto),Mh.Khalifa Suleiman Khalifa(kulia) wakiwa pamoja na Balozi Ombeni Sefue
Kamati ikipata picha ya pamoja na Balozi
Balozi Ombeni Sefue akiwakaribisha kamati ofisini kwake
Kamati wakiwa kwenye picha pamoja na balozi ofisini kwake
Picha juu na chini Balozi Ombeni Sefue akiwapa tour kamati kwenyejengo jipya
Kamati ikiwa ndani ya chumba cha mikutano na balozi na maafisa ubalozi tayari kujadili maswala yaliyowaleta
Rosemary Mziray
Edward Taji na kitengo cha Visa
Taji akimrambisha mtu Visa
Mgeni amekuja kuwasilisha Passport yake kwa ajili ya Visa
No comments:
Post a Comment