![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wanne kushoto) na Balozi wa China nchini, Liu Xinsheng (watatu kushoto) wakiweka udongo katika jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi kwa ujenzi wa Taasisi ya tiba ya moyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili MNH jana Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Prof. David Mwakyusa (watano kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Adolar Mapunda na wa pili kushoto ni kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya watu wa China Bwana Sun Liang (picha na Freddy Maro) |

No comments:
Post a Comment