ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 8, 2010

WANAMUZIKI WA TWANGA KUPIMWA ‘NGOMA’


Mnenguaji wa African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Suzan Chubwa a.k.a Queen Suzy akimremba mnenguaji mwenzake, Betty Kibororoni, kabla ya kupanda stejini. Wanenguaji hao walinaswa katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mlimani, ambapo kulikuwa na tukio la uchangiaji damu pamoja na kupima Virusi Vya Ukimwi.

Wanenguaji wakongwe waliowahi kutesa enzi za akina Diana Aston Villa, Aisha Madinda (kulia) na Lilian Internet, wakiwa kwenye pozi kusubiri zoezi la uchangiaji damu.
Queen Suzy akionesha tattoo yake ya kiunoni na kimkufu cha dhahabu.
Pozi la Aisha Madinda.
Wanenguaji wa Twanga wakiwa katika pozi, kutoka kushoto waliokaa ni Queen Suzy, Maria Sharapova na Sabrina Pazi. Aliyesimama nyuma yao ni Betty Kibororoni.

No comments: