ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 1, 2010


Image
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Utawala Bora, Sofia Simba akizindua rasmi vipeperushi vya elimu kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi Dar es Salaam jana. Kulia ni Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Evance Balama. (Picha na Mroki Mroki).

No comments: