![]() |
| Askari Polisi wa Kituo cha Chang'ombe jijini Dar es Salaam wakiwa wamemdhibiti mtu anayedaiwa kuwa ni tapeli aliyejifanya Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) 'Kishoka' aliyefahamika kwa jina la Juma Nkondola, aliyekamatwa katika eneo la Yombo Dovya, wakati akijaribu kutapeli katika nyumba ya mkazi mmoja wa eneo hilo. (Picha na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment