ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 27, 2010

BAHATI ATWAA TAJI LA MISS ILALA

Mrembo Bahati Chando(kati) usiku wa kuamkia leo alivishwa taji la Miss Ilala 2010/2011 baada ya kufanikiwa kuwabwaga wenzake 17 katikia kinyang’anyiro hicho kilichofanyika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
picha na melezo kwa hisani ya GLOBAL PUBLISHERS 

No comments: