ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 13, 2010

Image
Hatari! Kutokana na kutofuatwa kwa taratibu na sheria zilizopo kwa baadhi ya watu, wengi wamekuwa wakijifanyia mambo kiholela kama ilivyokutwa kwa wafanyabiashara hawa wakiendelea na biashara zao katika makutano ya Reli na Barabara katika eneo la Mnyamani, Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: