
Hii picha ya demu wa kizulu aitwae Portia Khumalo aliyejipaka rangi ya bendera ya Tanzania siku ya mpambano kati ya South Africa na Uruguay. Alipoulizwa na repota wetu aliyeko Sauzi kwa nini amejipaka bendera ya Tanzania wakati Tanzania haipo kabisa katika michuano hiyo, alijibu kwamba anaizimia sana Bongo,as a matter of fact boy friend wake ni Mtanzania, akaongeza kudai kwamba kama South Africa itafungwa atakuwa deeply brokenheartedly hivyo atahitaji kuliwazwa kwa hali ya juu sana na huyo boy friend wake Mtanzania. Sasa ili kujiwekea mazingira mazuri ya kuliwazwa ilibidi ajipake bendera ya Tanzania ili bwana wake wa kibongo afurahi na kurudisha fadhila kwa kumpa mapenzi moto moto na kumtoa outings kwa sana... ni vijimambo vya Woza 2010.!
PICHA NA STORI: John Malekela
No comments:
Post a Comment