
Wengi ‘walipokohoa’ chini kwa chini na Risasi Vibes kuzinyaka nyeti zao wameshauri mzee huyo kwenda kwa Mkemia Mkuu kupima vinasaba vyake na mtoto huyo ili kupata uhakika.
Wameshauri kuwa, itamsaidia mzee huyo kuwa na uhakika kwani dunia ya sasa imechafuka kama si kuharibika.
Hata hivyo, fungu lingine la wasanii wamesema hakuna haja ya kutumika kwa DNA wakati Magali mwenyewe kama mzazi hana wasiwasi wa kubambikwa binti huyo.

No comments:
Post a Comment