ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 18, 2010

MTIKILA MAHAKAMANI LEO


Mchungaji Christopher Mtikila akizungumza na wanahabari baada ya kesi yake ya kutaka mgombea binafsi kutupiliwa mbali na Mahakama Kuu ya Rufaa mapema leo jijini Dar es salaam.

No comments: