ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 18, 2010

Image
Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustino Ramadhani (wa pili kushoto juu) akisoma vifungu vya sheria wakati akitoa hukumu ya kesi ya Mgombea binafsi, katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Jaji January Msofe na Bernard Luanda wa Mahakama ya Rufani Tanzania. (Picha na Fadhili Akida)

No comments: