ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 12, 2010

Balozi Mwanaidi Maajar

Mahojiano kati ya Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC na Balozi Mwanaidi Sinare Maajar. Balozi Maajar yuko mbioni kuelekea Washington atakakokuwa balozi mpya wa Tanzania baada ya kufanya kazi hiyo nchini Uingereza kwa takriban miaka minne. Anazungumzia changamoto na mafanikio yake.
Bofya hapa kuangalia sehemu ya kwanza
TazamaBofya hapa kuangalia sehemu ya pili

No comments: