ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 23, 2010

gari lako lisije likabuma

Image
Akina mama lishe wa eneo la Feri, Posta wa zamani Jijini Dar es Salaam wakiwa wamebeba madumu ya mafuta aina ya dizeli baada ya kuyachota majini. Inasemekana kuwa kuna meli ilikuwa imetoboka na hivyo kumwaga mafuta baharini( Picha na Evance Ng’ingo)

No comments: