ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 2, 2010

Happy Birthday Mwana Njenje

Mwana Njenje anaelekea Minnesota kwenda kula Raha kama sehemu ya Birthday yake,anawakaribisha wanaoweza kujumuika nae,unachotakiwa wewe fika Minnesota Raha zote,Burudani na mambo yasio kua na lazima muachie yeye kwani ni siku yake

No comments: