
Wadau inabidi uweze kuwatambua wote wawili ili ujishindie na VIJIMAMBO

Je hawa ni madj akina nani na hii ni club gani Tanzania enzi hizo je hii club bado ipo au imeishakufa kazi kwenu vijana wa zamani

Je unawakumbuka hawa,haya vijana wa zamani kazi kwenu
2 comments:
DJ LUKE ENZI ZAKO ULIPOKUWA RUAWA IRINGA ENZI ZA TOTOZI KINA REHEMA KIPOZI .KWELI WATU WANABADILIKA DJ WAMEONDOKA
Dj Luke na Richie Dillon
Hii picha nyingine namuona Young Millionaire...kama sikosei.
M
Post a Comment