ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 3, 2010

MO AZINDUA SHINA LA WAKEREKETWA WA CCM..!!!

Pichani ni Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini akikata Utepe Kuashiria Uzinduzi wa Shina la Pili la wakereketwa wa CCM,tawi la Mitunduruni alipofanya ziara ya kukagua Vikundi jimboni mwake
Mh.Mohammed Dewji akipandisha bendera ya CCM baada ya kuzindua Shina hilo kwa ajili ya wakereketwa wa CCM
Baada ya kuzindua Shina hilo pia alifanya zoezi la kugawa kadi kwa wananchama wapya wa CCM katika Tawi la Mitundurini.
 Zoezi la Ugawaji kadi likiendelea kwa wanachama wapya wa CCM
Mh.Mohammed Dewji akiwaapisha wanachama wapya wa CCM baada ya Kuzindua tawi Jipya la CCM mkoani Singida katika kata ya Mitunduruni.
Picha na Maelezo kwa hisani ya Andrew Chale

No comments: