
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wanachama wenzake baada ya kuwasili Makao Makuu ya Chama hicho mjini Dodoma jana kurejesha fomu za kuomba kuwania Urais kupitia chama hicho. Kulia ni mkewe, mama Salma Kikwete. Picha na Edwin Mjwahuzi
SHEREHA za Rais Jakaya Kikwete jana kurudisha fomu za kuomba kuteuliwa tena kugombea urais kupitia CCM jana zilivuruga shughuli za bunge baada ya karibu wabunge wotre wa chama hicho kukimbilia katika viwanja vya CCM makao makuu.
Kwa Habari Zaidi Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment