ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 9, 2010

Zanzibar ni Shein, BILAL, NAHODHA SI RIZIKI


Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein, akipunga mkono kusalimia wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM na wanachama wengine mjini Dodoma jana, mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM maarujfu kama 'White House'. Dk Shein jana alipitishwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho

Na Waandishi Wetu, Dodoma

MBIO za urais wa Zanzibar ndani ya CCM zilifikia ukingoni jana wakati Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein alipopoibuka na ushindi wa kishindo, akimbwaga mpinzani aliyeonekana kuwa wa karibu, Dk Mohamed Gharib Bilal. Dk Shein, ambaye amekuwa makamu wa rais tangu mwaka 2001 baada ya Dk Omar Juma kufariki, alikusanya kura 117 za wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM iliyokutana mjini hapa jana na kumuacha mbali Dk Bilal ambaye alipata kura 54, ambazo ni takriban nusu ya kura alizopata mshindi.KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

No comments: