Kwa wale wabongo mtakaoenda likizo Tanzania msikose kutembelea Njiro Bar and GRill iliyoko Arusha njro nane nane grounds opposite na fibreboards,nyama choma utajing'ata ulimi,pana free wifi kwa hiyo ni mtandao na heineken pori(Beer ya Ndovu) kwa kwenda mbele.
No comments:
Post a Comment