
KITOTO kichanga kikiwa kimekufa, kimetafunwa na mbwa baada ya kutupwa katika kichaka na mama yake ambaye hajajulikana. Kichanga hicho kinaaminika kilitupwa muda mfupi baada ya kuzaliwa maeneo ya Kigurunyembe, Morogoro, kitendo ambacho kiliamsha huzuni kubwa kwa watu walioshuhudia mbwa wakitafuna mwili wa kiumbe hicho.
Habari zilizopatikana eneo la tukio zilidai kwamba majirani walisikia mbwa wakipiga kelele na walipofika katika eneo hilo walikuta mbwa hao wakigombea mwili huo.
HABARI NA PICHA KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake