ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 11, 2010

KUMEKUCHA: WAZIRI MAHAKAMANI KWA RUSHWA YA UCHAGUZI!

Joseph Mungai (66) (MWENYE PAMA) akiwa na wapambe wake wawili katika mahakama ya hakimu mkazi wa mkoa wa Iringa mapema leo.

1 comment:

Tunyfish said...

Kweli Mungai anakazi on this!!Jamaa can't win bila kutoa kitu kidogo?Mpaka uchaguzi uishe,kutakuwa na kesi kama hii kibao.Rushwa imeshamiri sana bongo.
Kitu kimetulia mwana!Keep it up!