ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 22, 2010

Image
Rais Jakaya Kikwete akimnadi Charles Kitwanga, mgombea ubunge wa CCM wa Jimbo la Misungwi Mwanza jana, akiwa ni mbunge wa kwanza kunadiwa na Mwenyekiti huyo wa CCM ambaye kaanza rasmi ziara ya mikoani. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments: