ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 15, 2010

Ughaibuni si mchezo

Hapa ni makutano ya mtaa Branch Av,SE na O St,SE,Washington,DC,watu wasiojulikana wamechangamkia matairi Picha chini ni Pick Up ya Dodge,1500 ikiwa chini ya mawe kama ilivyokutwa na mpiga picha wetu Saleh Mohammed katika pita pita zake mitaa hiyo

No comments: