ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 10, 2010

WATANZANIA WENZANGU,DMV

Tunatoa shukrani kwa familia ya Mosha kwa msaada wa nguo na viatu kwa Watanzania wenzao wanaoendesha maisha yao ya kila siku bila kua na uwezo wa kununua nguo na viatu,pichani ni Mimi Mke wa Deo Mosha,Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema,awazidishie mara elfu.

Kwa Watanzania waishio DC,MD na VA nakusanya nguo na viatu kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wenzetu wanaoendesha maisha yao kila siku bila kua na uwezo wa kununua nguo huku wakitembea bila viatu.

Mwenyezi Mungu amekupa nafasi ya kuwa UGHAIBUNI naomba uwaonee huruma Watanzania wenzako wanavyo taabika na hali ngumu ya maisha,kama una nguo uzitumii au viatu,tafadhali usipate kigugumizi,mimi nipo tayari niite popote pale utakapo kua nitakuja au nielekeze wapi tukutane,sitasita kufanya hivyo.

Nipigie 240 595 9874 ni text au niandikie e mail ljoe_00@hotmail.com.

Asante Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atawazidishia mara elfu

wenu katika kusaidia Watanzania wenzetu,

Dj Luke

No comments: