Marehemu DK. Ernest Mashimba ambaye alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania ameagwa mchana huu kwa heshima zote nyumbani kwake Oysterbay na kuacha majonzi makubwa kwa mkewe, Bi Rose Mashimba (pichani) ambaye baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mpendwa mumewe, alipoteza fahamu na kusaidiwa na waombolezaji. Mwili umesafirihswa kuelekea Mwanza nyumbani kwa mareheamu kwa ajili ya maziko kesho.
..dada wa marehemu, Bi Mariam Manyerezo, akitoa heshima zake za mwisho.
Mtoto wa Marehemu, Hapiness Mashimba, akitoa heshima zake za mwisho kwa baba yake. Marehemu alikwenda Tanga kwa ajili ya mahafali ya Hapiness.
...waombolezaji wakimsamdia Hapiness kunyanyuka baada ya kuishiwa nguvu
...waombolezaji wakimbeba mke wa marehemu kumuingiza ndani baada ya kupoteza fahamu
...mke wa marehemu akiwa na watoto wake watatu kati ya watano aliozaa na marehemu
...maofisa mbalimbali wa serikali waliohudhuria msibani
...aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jamal Rwambow (wa tatu kutoka mbele) akiwa katika foleni na waombolezaji wengine kutoa heshima za mwisho kwa marehemu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, akisoma risala
.....Afisa kutoka ofisa ya Mkemia Mkuu Zanzibar, Bi. Mayasa Salum, akitoa salam zake kwa wafiwa kwa niaba ya Serikali ya Zanzibar
....baadhi ya waombolezaji waliofika kumuaga marehemu
Bi. Mariam akiongea na Mpiga Picha wa The Gurdian, Tryphon Mweji. Bi Mariam, mwenye makazi yake Zanzibar, alisema kuwa yeye ndiye aliyemlea marehemu.
PICHA: HARUNI SANCHAWA/GPL
No comments:
Post a Comment