ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 28, 2010

Shurani

Loveness Mamuya anatoa shukrani zake za dhati kwa wote waliohudhulia na ambao walishindwa kutokana na kutingwa au kukosa nafasi kwenye memorial Service ya Mpendwa Mama yake,iliyofanyika Jumamosi Sept 25,2010.

Nina sema Asanteni mno na Mwenyezi Mungu awazidishie.

"Picha zinakuja"

No comments: