ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 6, 2010

Simba na Yanga Ughaibuni

Mgeni wa heshima wa mpambano wa Yanga na Simba Mh:Suleiman Salehe(shoto) akiwa na mgeni wake Mh:Mshamu Abdullah,Naibu katibu mkuu Ofisi ya Waziri Kiongozi Zanzibar 
Mgrni wa heshima akisalimimiana na Ref wa mpamban9 La Mwamba kutoka Kenya
Mh:Mshamu Abdullaha akisalimiana na Ref La Mwamba Patrick
Mh:Suleman Saleh akikagua kikosi cha Msmbazi
Mgeni wa heshima akikagua kikosi cha Yanga
Mpambano ukiendelea
Mashabiki wa msimbazi wakifuatilia kwa makini mpambano
shabiki #1 wa Simba,Alawi Omar wakifuatilia mpambano
Kenyatta akiwa  na Abdul Pesa kwenye mpambano huo
Mashabiki wa Yanga na Simba wakibishana kabla ya mpambano huo
Juu na Chini Mashabuki wa Yanga Na Simba wakijumuika pamoja baada ya mpambano

No comments: