
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea tuzo hiyo kutoka kwa mmoja wa wasimamizi wa shughuli hiyo na msanii maarufu, John Schneder.
Tanzania imepewa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Millenium Development Goals (MDGs) 2010 : The Global Heabeat kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika maendeleo ya elimu katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Waldorf Astoria Grand Ballroom jijini New York hapo jana Septemba 19, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment