ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 20, 2010

DK. SLAA AUNGURUMA SINGIDA

Dk Slaa akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Singida.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Singida, wakishangilia mara baada ya kuwasili kwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha zamani.
Mgombea ubunge katika jimbo la Singida Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Josephat Isango, akwahutubia wananchi wa mji huo na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni wa mgombea
urais kwa tiketi ya chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.

Picha zote na Joseph Senga wa gazeti la Tanzania Daima.

No comments: