ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 20, 2010

JK ALIVYOPAGAWISHA NACHINGWEA

JK akipokelewa kwa shangwe na wana Nachingwea jana jioni.
JK akimnadi Mh. Mathias Chikawe, mgombea ubunge jimbo la Nachingwea mjini Nachingwea jana jioni.
JK akiwa kamezwa na umati wa watu wa Nachingwea jana.
Makada wa CCM wa Nachingwea wakifuatilia kampeni.


PICHA ZOTE KWA HISANI YA MICHUZI BLOG.

No comments: