ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 21, 2010

Je unawakumbuka hawa jamaa enzi zao???

Hii timu iliyokua ikizisumbua Yanga na Simba hasa Yanga je unawakumbuka ni timu gani

3 comments:

Anonymous said...

hao ni wana kawe kamo,tp lindada.

Anonymous said...

Pamba Ya Mwanza !!!

BeachBoy said...

Hao ni Wana TP Lindanda yap wana kawe kamo namuona nteze john lungu No 12