ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 21, 2010

Wakuu wa Mikoa wanapokutana

Kutoka kushoto ni Frank,Abraham(OH) na Santa(MD) wakishusha pumzi baada ya mihangaiko ya hapa na pale baada ya kukutana kutokana na wakuu wa Mkoa wa Ohio walipotembelea Mkoa wa Maryland kwa ajili ya Ubatizo wa Mtoto wa Quizela,Oct 16,2010

No comments: