Advertisements

Friday, October 22, 2010

Kajumulo aitakia VIJIMAMBO Uzinduzi mwema

Babu Kaju(kulia) akiwa na Chameleone wakiwa Seattle,WA.
Alex Kajumulo ameitakia Blog ya VIJIMAMBO kila la heri kwenye Uzinduzi hapo kesho Mirage Hall,yeye angependa kujumuika kwenye uzinduzi huo lakini siku hiyo atakua Canada na Bendi yake.

No comments: