Advertisements

Friday, October 22, 2010

Mswalie Mtume Bibi wa Watu!!!

VIJIMAMBO yakutana na mzinga uso kwa uso uliotokea Riggs Road,Hyattsville,MD mida si mirefu bibi wa miaka kama 80 hivi jina alikuweza kupatikana mara moja kwani bibi alikua aongei.Bibi alikua akijaribu kuukwepa mpira uliokua ukichezwa na mtoto wa kipasa na mara kaupiga mpira kuelekea barabarani,bibi alipojaribu kuukwepa ndipo aligonga nguzo ya umeme na gari kuelekea kugonga ukingo wa barabara  inayoingia ndani ya moja ya nyumba zilizopo kando kando ya Riggs Road
Bibi akiwa bado ndani ya gari na msamaria anaeonekana kwa mbali akipiga simu polisi
Gari ya Bibi aina ya Buick akia ikionekana imegonga kiwambaza
Nguzo ya umeme iliyovyunjwa na Bibi

No comments: