
Band ya Keeping Reley nao hawakua nyuma kutoa burudani kwa mashabiki wa mitindo walio kuwepo Princeton University kumshuhudia Khadija Mwanamboka na Tanzania Mitindo House akifanya mavitu

Huyu Dada anaitwa Brittany Karima Cesarini ni Mmarekani na ndie aliyekua akiweka miziki ya Models, Karima anaongea kimatumbi utafikiri amezaliwa Tanzania kumbe kakaa Bongo Miezi mitano tu.

Juu na chini ni Khadija Mwanamboka akimuzawadia zawadi ya khanga Sabrina Zzento,Rais wa Princeton Africa Development Initiative chuoni hapo kama kielelezo cha kusema asante kwa kuwezesha maonyesho hayo ya mitindo kufanyika chuoni hapo


Mashabiki wa mitindo waliofika kumuunga mkono Khadija Mwanamboka kutoka sehemu mbali mbali,pichani ni Ebra Nyagaly(shoto) Kutoka New York na Henry Kente kutoka DC

Ebra Nyagaly akipata U-kodak Moment na Belinda Mlingo

Henry Kente akipata U-kodak moment na Mama mitindo Asia Idarous ambae siku ya uzinduzi wa VIJIMAMBO atafanya vitu vyake

Mama na Mwana kwenye U-kodak moment pichani ni Asia Idarous kulia akiwa na mwanae Fatuma Idarous anayeishi New Jersey

Mama na Mwana wakiwa na ndugu na jamaa

Hawa pia ni Wabongo waliokuja kumuunga mkono Dada yetu Khadija Mwanamboka

Hawa pia ni Wabongo waliokuja kumuunga mkono Dada yetu Khadija Mwanamboka
No comments:
Post a Comment