ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 24, 2010

MC Sunday Shomari alitia fora kwenye Uzinduzi VIJIMAMAMBO

2 comments:

Anonymous said...

Jamani.....uongozi wa vijimambo! hilo kombe lilikabidhiwa kwa timu iliyoshinda 4-2 au iliyoshindwa? huyo kaka hapo juu ni timu captain wa Stars United....ambayo ndio iliyokula kichapo cha mabao 4-2,chini ya usimamizi wa beki mstaarab wa Boston,Tiff(CAPTAIN).Uzinduzi ulishindwa kupata ushindi........basi hata kuandika habari sahihi umeshindwa? aah Luke acha njama hizo. Na ile ngoma iliyokuwa ikisheherekewa kwa Mtetemesho siii Kidumbatu......"WANATETEMEKA WANATETEMEKA.....WANATETEMEKA......"
Mdau DC.

Anonymous said...

huyu Luca anajifanya haelewi lakini ataelewa tu