MC Sunday Shomari alitia fora kwenye Uzinduzi VIJIMAMAMBO
2 comments:
Anonymous
said...
Jamani.....uongozi wa vijimambo! hilo kombe lilikabidhiwa kwa timu iliyoshinda 4-2 au iliyoshindwa? huyo kaka hapo juu ni timu captain wa Stars United....ambayo ndio iliyokula kichapo cha mabao 4-2,chini ya usimamizi wa beki mstaarab wa Boston,Tiff(CAPTAIN).Uzinduzi ulishindwa kupata ushindi........basi hata kuandika habari sahihi umeshindwa? aah Luke acha njama hizo. Na ile ngoma iliyokuwa ikisheherekewa kwa Mtetemesho siii Kidumbatu......"WANATETEMEKA WANATETEMEKA.....WANATETEMEKA......" Mdau DC.
2 comments:
Jamani.....uongozi wa vijimambo! hilo kombe lilikabidhiwa kwa timu iliyoshinda 4-2 au iliyoshindwa? huyo kaka hapo juu ni timu captain wa Stars United....ambayo ndio iliyokula kichapo cha mabao 4-2,chini ya usimamizi wa beki mstaarab wa Boston,Tiff(CAPTAIN).Uzinduzi ulishindwa kupata ushindi........basi hata kuandika habari sahihi umeshindwa? aah Luke acha njama hizo. Na ile ngoma iliyokuwa ikisheherekewa kwa Mtetemesho siii Kidumbatu......"WANATETEMEKA WANATETEMEKA.....WANATETEMEKA......"
Mdau DC.
huyu Luca anajifanya haelewi lakini ataelewa tu
Post a Comment