Mh:Balozi Mwanaidi Sinare Maajar na Mumewe Bw.Shariff Hassan Maajar ndio watakaokua wageni Rasmi siku ya Uzinduzi wa VIJIMAMBO,Oct 23,2010,Mirage Hall
Asia Idarous(kulia) Mama Mitindo toka Tanzania atafanya onyesho la nguo zake siku ya Uzinduzi wa VIJIMAMBO,kwenye U-kodak ni Fatuma Idarous,mwanae anaeishi New Jersey.

Timu ya Boston Rangers kutoka Massachusetts kutua Kapitali Oct 23,tayari kwa mpambano wakukata na shoka na Stars United na hii ni moja ya shamrashamra za Uzinduzi wa VIJIMAMBO
Stars United

UNAKARIBISHWA KWENYE UZINDUZI WA BLOG YA VIJIMAMBO OCT 23,2010
THE MIRAGE HALL
1401 UNIVERSITY BLVD,
HYATTSVILLE,MD,20783
UZINDUZI UTAANZA SAA MOJA KAMILI(7:00PM) TAFADHALI ZINGATIA MUDA TUWALAKI WAGENI RASMI.
RATIBA KAMILI
7:00PM...WAGENI NDANI NA NJE YA STATE PAMOJA NA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA,NC,PA,KS,NY NA MA,KUINGIA NDANI YA UKUMBI.
-WAGENI RASMI KUWASILI
-CHAKULA
-MBONGO KUIMBA GOSPEL
-VUNJA MBAVU NA COMEDY MBONGO
-WACHEZAJI STARS KUKABIDHI KOMBE
-AJ UBAO NA NYIMBO YAKE MPYA
-ONYESHO LA MITINDO NA ASIA IDAROUS
-WAFANYABISHARA WABONGO WADHAMINI WA VIJIMAMBO KUELEZEA BISHARA ZAO
-MPWA KUSEMA MACHACHE NA KUWAKARIBISHA WAGENI RASMI
-MH BALOZI KUONGEA NA WATANZANIA
-WAGENI RASMI KUFUNGUA RHUMBA
-MUZIKI KWA WOTE


2 comments:
Sasa mbona ratiba imeskip usinduzi wa blog? Au nimeelewa vibaya? Naomaba kueleweshwa.
Anonymous said Mpwa akishasema machache si ndio uzinduzi kaka, basi atafungua na champagne kabisa
Post a Comment