Wandugu,
Ni tumaini kubwa kuwa tuko katika kufunga na kusali ili mambo nchini mwetu yaende salama. Kama unafuatilia vyema taarifa za huko unajua mambo yalivyo.
Tunaamini nasi tunao mchango wetu ili hali njema iwepo nchini jinsi tunavyosonga mbele.
Tulishaanza vizuri kwa kuwa na misa yetu ya Kiswahili. Tulikubaliana tufanye misa nyingine:-
Lini? November 7 saa 8:30 Mchana
Wapi? St. Camillus Parish
1600 St. Camillus Drive
Silver Spring, MD 20903
Nani? Mtanzania yeyote, Yeyote anayezungumza kiswahili, Na yeyote mwenye Mapenzi mema.
Nia:- Kujiombea sisi tulioko ughaibuni na Familia zetu, Kuliombea taifa letu amani na Kumshukuru Mungu kwa Baraka tulizoshajaliwa.
Mahitaji:- Ushirikiano na Mshikamano. Pia tushiriki kuleta viburudisho na chakula ili baada ya kusali tuweze kukaa pamoja na kuongea kubadilishana mawazo, kufahamiana zaidi na mengineyo.
Mawasilianao:
Fr.Wolfgang Pisa
Capuchin College
4121 Harewood Road NE
Washington,D.C 20017
Tel: 202 529 2188 ext 112
Cell: 313 316 1444
Fr. Evod Shao
901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216
Tel:- 410-362-2000 Office
Cell:- 443-827-9741
Kama utaweza kuleta Chakula au Vinywaji, kama utaweza kushiriki kuimba au kusoma masomo, Kuandaa ukimbi na jingine lolote. Tafadhali wasiliana na hawa hapa chini. Watakuelekeza nani wengine wanaohusika.
Julie Sarwat & Happiness Marunda
St. Camillus Parish
1600 St. Camillus Drive
Silver Spring, MD 20903
Tel:- Happiness -301-461-6031
Julie 301-431-0624
Baraka Daudi 301-792-8562
Jami tusiwachukulie Muda wenu zaidi. Kama kuna wazo lolote usisite kulitoa.
MUHIMU:- TAFADHALI SAMBAZA UJUMBE HUU KWA WENGINE WENGI IWEZEKANAVYO.
PILI- TUSHIRIKI WOTE HIYO NOVEMBA 7,2010
MISA NYINGINE ITAKUWA DECEMBA 26, 2010.
SEMA NENO.
No comments:
Post a Comment