![]() |
| Umati wa wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wakimsikiliza mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba (hayupo pichani), katika mkutano wa kufunga rasmi kampeni za chama hicho uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam jana. (Na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment