ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 31, 2010

Rais Kikwete ateta na Kikongwe baada ya kupiga kura Msoga!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura yake katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Msoga, kata ya Msoga leo asubuhi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga kura katika kituo cha shule ya msingi Msoga leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
Rais Jakaya mrisho Kikwete akiteta na Bibi kikongwe Khadija Mwanaomari muda mfupi baada ya kupiga kura katika shule ya Msingi Msoga huko kijijini Msoga leo asubuhi(picha na Freddy Maro)

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA APIGA KURA KIJIJINI KWAKE KIBAONI!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga kura kwenye kituo cha uchaguzi kijijini kwake, Kibaoni, Katavi Oktoba 31, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu. MamaTunu Pinda akipiga kura kwenye ituo cha Uchaguzi kijijini Kibaoni, Katavi, Oktba 31, 2010. (Picha na Ofisi ya WAziri Mkuu)
PICHA NA MAELEZO KWA HISANI YA FULL SHANGWE

No comments: