ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 24, 2010

Stars Yabanjuliwa na 4-2 na Boston Rangers

Stars United wakipata mawaidha wakati wa mapumziko wakati walikua nyuma ya bao 3-2
Boston Rangers
Salum Salum(timu meneja)akicheza kidumbaki kushangilia ushindi waliupata Boston Rangers dhiti ya Stars United



No comments: