
Mama Mitindo Asia Idarous akimuzawadia Mh:Balozi Mwanaidi Maajar Zawadi maalum kwenye Uzinduzi wa VIJIMAMBO

kutoka kushoto ni Mpwa,Colonel Maganga,Mh:Balozi Maajar,B Kirigiti,Peter Kirigiti(Rais wa Jumuiya ya Watanzania,Columbus,OH na Mkamiti Kibayasi(VOA)

Mkuu wa Mkoa(WA) Katunda akipata U-kodak na Mh:Balozi

Missy Temeke(shoto) na Mama Raju nao hawakua mbali kupata U-kodak moment

Waumiza vichwa wa Bash la Uzinduzi VIJIMAMBO Kie Mlay(shoto),Phanuel Ligate na Mpwa kwenye U-kodak moment na Mh:Balozi.

Victor Kileo kaipata U-kodak na Mh:Balozi kulia kwa BMh:alozi nii Abbas Misana(afisa wa Ubalozi)
No comments:
Post a Comment