Juu na chini Ustadi Ebra Nyagaly alivyopitisha buldoza kwa ustadi mkubwa kichwani kwa Mpwa,ujuzi huu anao zaidi ya miaka mitano,kama na wewe unahitaji buldoza kwa bei nafuu tena atakuja popote pale ulipo hasa kwa wakazi wa New York,New Jersey na vitongoji vyake.
Mpigie simu 347 475 4313
Wakwetu!
ReplyDeleteUmeonekana maridadi kweli kweli.
Musoma connection.
mpwa jamani umeonekana kijana
ReplyDelete