Uongozi/Luke!Wageni waalikwa wa timu ya Boston-New England Umoja wapo wapi? Kama Mheshimiwa Balozi amepokea Kombe hilo bila ya timu pinzani,.......basi ile mechi ilikuwa sii muhimu kuchezwa! tungemwalika Mheshimiwa Balozi wetu,Mwenyekiti wa NE.Umoja na wengineo waje kukabidhi kombe kwa Balozi bila ya Usumbufu wa Mechi iliyoandaliwa.Au ni njama tuu baada ya kupata mateso uwanjani? Andika,na wape sifa zao vijana wa Boston.
2 comments:

kwa kweli hata mimi siwezi kuelewa ni kitu gani hapa kimetendeka
Post a Comment