![]() |
| Huu si mto wala bwawa la kufugia samaki! Hili ni dimbwi la majitaka yaliyotuama katikati ya barabara ya Upanga, Dar es Salaam kutokana na kuziba kwa miundombinu na kusababisha kero kwa wapita njia na madereva wa magari kama ilivyokutwa jana. Watumiaji wa barabara hiyo na wanaojishughulisha na biashara zao eneo hilo wameitaka Kampuni ya Majisafi na Majitaka (DAWASCO) kushughulikia tatizo hilo ambalo kwa mujibu wao lina wiki ya pili sasa. (Picha na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment