Asia Idarous(shoto) Mama mitindo kutoka Tanzania akiwa na Ma Winny kutoka DC wakiwa kwenye U kodak Moment mara walipokutana Jumapili Nov 21,2010 kwenye ukumbi wa Millenium uliopo 1511 University Blvd,Hyattsville,MD,20783 kukagua eneo watakapofanyia Mitindo Night siku ya Jumamosi Nov 25,2010 na kuwaahidi kufanya onyesho ambalo wamjawahi kuona.

No comments:
Post a Comment